John 17:20-21

Isa Awaombea Wote Wamwaminio

20 a“Siwaombei hawa peke yao, bali nawaombea na wale wote watakaoniamini kupitia neno lao 21 bili wawe na umoja kama vile wewe Baba ulivyo ndani yangu na mimi nilivyo ndani yako, wao nao wawe ndani yetu, ili ulimwengu upate kuamini ya kuwa wewe ndiye uliyenituma mimi.
Copyright information for SwhKC